iqna

IQNA

Abdulaziz Akasha
Vilele vya Qiraa / 57
Mojawapo ya sera muhimu zaidi za IQNA ni kusambaza misingi ya kielimu na kuboresha kiwango cha maarifa ya usomaji wa Qur'ani ya watazamaji, wasikilizaji na wasomaji wetu wapendwa. Kwa ajili hiyo, sehemu bora na mashuhuri zaidi za visomo bora vya Qur'ani Tukufu vya maqarii wa Ulimwengu wa Kiislamu ambavyo vinafaa kuigwa na Maqari, vinawasilishwa na kusambazwa chini ya anuani ya"Vilele vya Qiraa".
Habari ID: 3477057    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28